Exploring the Bible Course - 24

KIFO –MATOKEO YA DHAMBI YASIYOEPUKIKA

 

Biblia inafundisha kuwa kifo kilitokea kwa adhabu ya dhambi. Mwanzo kabisa Adam alitenda dhambi na akahukumiwa kifo (Mwanzo 2:16- 17- 19) nasi sote tumeulithi ufu uliotokana na dhambi.

 

 • “kutokana na mtu mmoja dhambi iliingia duniani na kifo kutokana na dhambi “(Walumi 5: 12)”Hata hivyo Mungu ametupa njia ambayo kuwa dhambi inaweza kusamehewaambayo ni dhabihu kamilifu la mwanawe Bwana wetu yesu kristo, kwa njia hiyo tumepewa ukombozi kutokana na mduara wa kutisha unaoishia kwenye kifo.

 • “kutokana na Adam wote hufa hivyo hivyo kutokana na Yesu wote watafanywa hai, “(1 Wakorinto 15: 21- 22)

 • ”kama dhambi ilivyo kuwa na nguvu hadi kusababisha kifo hivyo hivyo Neema inaweza kuwa na nguvu kwa njia ya haki hadi kusababisha uzima wa milele kwa njia ya Yesu kristo Bwana wetu “(Warumi 5:21)

 • Ujira wa dhambi ni mauti, bali zawadi ya Mungu ni uzima wa milele kwa njia ya kristo Bwana wetu (Warumi6: 23)

Kristo Na Kusulibiwa Kwake – Ushindi Dhidi Ya Kifo

Kutokana na nukuu za hapo juu tunaona kuwa Yesu kristo ndiye aliyetolewa na Mungu kutupa matumaini ya kustaajabisha ya uzima wa milele badala ya matokeo yaliyoepukwa ya kifo kwa sababu ya dhambi. Ushindi wa mwisho dhidi ya dhambi na mauti ulipatikana kwa kifo cha Yesu kristo msalabani .

 • Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu , kulingana na maandiko”(Wakorinto15:3)

 • Alijeruhiwa kwa ajili ya makosa yetu, aliumizwa kwa ajili ya uovu wetu”(Isaya53:5) Alibeba dhambi zetu ndani ya mwili wake mtini”(1petro2: 24)

 • “Aliondoa dhambi kwa kujidhabihu mwenyewe” (Waebrania 9: 26)

KUSULIBIWA KWA KRISTO KULIWEZAJE KULETA UKOMBOZI WA DHAMBI NA KIFO?

Yesu kristo alikuwa na asili sawa na wale aliokuja kukomboa (Waebrania 2:14) na hivyo aliweza kufanana na wanadamu katika jitihada za kupambana na dhambi

 • “Alishawishiwa kwa kila hali kama sisi lakini hakutenda dhambi” (Waebrania 4:15)

 • Kwa kuwa yeye mwenyewe alijaribiwa, anweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa (Waebrania 2:18)

Mungu alipompeleka mwanae akiwa anafanana na mwili wenye dhambi, na kwa ajili ya dhambi alilaani Dhambi katika mwili (Warumi8:3)

Kinyume cha wazao wengine wote wa Adamu Yesu alishinda kila kishawishi cha dhambi katika maisha yake yote na alimtii Mungu kikamilifu. Katika kifo chake msalabani alifanya tendo la mwisho lilokamilisha utiifu wake. “Alijinyenyekeza na kuwa mtiifu hadi kufa, kifo chenyewe cha Msalabani” (Wafilipi 2:8). Ndivyo alivyoshida dhambi, na kuharibu nguvu yake ndani yake, na katika ufufuo wake na kuwa katika hali ya kutokufa kifo chenyewe kilikuwa kimeshindwa. Mungu alimtoa kwetu kama mkombozi aliyeahidiwa kwetu ambaye angewaokoa wote wanaomuamini (Yohana 3:16)

Tunu ya Mungu ya uzima wa milele imehesabiwa kwa wote wanaonyesha imani katika yale aliyomfanyia Kristo na kubatizwa katika jina lake (Warumi 6:3- 5, 23).

 

 

 

 

 

 

KRISTO ALIMTEKETEZA AU“DIABOLOSI IBILISI

 

Tumeshaona jinsi neno Diabolos linavyotumika kuipa mwili ili hali ya kuegemea sana upande wa dhambi ambayo kila Binadamu anayo kutokana na kuwa na mwili na damu. Hii ndiyo hali au asili ambayo hata Yesu Kristo alichangia na wale alikuja kuokoa. Zingatia jinsi kazi yake ya kuishinda dhambi, kwa utiifu mkamilifu hadi kifo chake kinavyoeleza aya ifuatayo:-

“Kwa hiyo, kwa kuwa watoto hao wana mwili na damu yeye pia, kama wao alipata mwili na damu: ili katika kifo aweze kumtekeleza yule aliyekuwa na uwezo wa kifo amabaye ni Ibilisi (Diabolosi) “(Waebrania 2:14) katika maisha yake yote, wakati wote Yesu alitimiza matamkwa ya Baba yake, katika kifo alijitoa kwa utii akasulubiwa hadharani na hatimaye kukitekeleza kile kilichokuwa kimewatawala watu tangu dhambi ya Adamu. Kwa wanaume wengine wote nguvu hiyo ilisababisha dhambi lakini Yesu Kristo alipata ushindi dhidi ya dhambi na kifo. Kwa sasa amewkwa katika hali ya kutokufa. Dhambi na sio tishio tena kwake ____ “Mauti hayamtawali tena” (Warumi 6:9) kwa kufanya haya kwa ajili ya nafsi yake ameyafanya kwa ajili ya wote wanaomfikia Mungu kupita kwake, kwa njia yake kuna msamaha wa dhambi ya matumaini ya kupata uzima wa Milele. Ni sehemu ya makusudio ya Kustajabisha ya mwenyenzi Mungu kwamba hatimaye mauti yenyewe iltaondolewa duniani milele. (Wakorinto 15:25 – 26, Ufunuo 21:4) inafaa tuone kwamba Ibilisi anayezungumziwa katika aya hii asingeweza kuwa yule Ibilisi mwenye uwezo unaozidi uwezo wa binadamu aliyomo katika mafundisho Kanisa. Ni wazi, Diabolosi aweje, alitekelezwa katika kifo cha Kristo.

Katika1 Yohana 3 kwa mara nyingine tuna kauli inayosema kuwa kristo alikuja kuharibu kazi ya Ibilisi au Diabolos tazama Yohana anavyozungumzia hili :-

“Mnajua kuwa yeye (Yesu) alidhihilishwa kuondoa dhambi zetu” (aya ya5)ambayo ni sawa na kusema”kwa ajili hii mwana wa Mungu alidhihirishwa ili aweze kuharibu kazi ya Ibilisi (Diabolos)” (aya ya 8). Hivyo Yohana anasema kuwa usemi “kazi za Ibilisi” ambazo Yesu aliharibu ni sawa na kusema kuwa Yesu alikuja “kuondoa dhambi zetu” Dhambi zetu ni matendo yatokanayo na tamaa zilizomo katika asili yetu zinapokuwa hazijadhitiwa . kwa njia ya Yesu tunaweza kusamehewa dhambi hizi (1Wakorinto15:3,1Petro2:24,1Timotheo1;15)

“LILE JOKA KUU AMBALO NI IBILISI (DIABOLOS) NA SHETANI”

Tamko hili limo katika Ufunuo20:2

NAMBA13

Kipofu na bubu na Yesu alimponya kwa uwezo wa Mungu.”lakini Wafarisayo waliposikia hayo walisema, mtu huyu hatoi mapepo (demons) ila kwa uwezo wa Beelzebul mtoto wa mfalme wa mapepo ( demons)” ( aya ya 24). Wafarisayo wasingekiri kuwa Yesu alikuwa amepewa uwezo wa kuponya na Mungu kwa sababu kukiri hivyo kungedhihirisha kuwa alikuwa ametumwa na Mungu . Wasingeweza kulikubali hili kwa hiyo walihusisha uponyaji ule na Beelzebul Mungu wa kipagani wa Wafilisti.

Unapendeza kuona kwamba kuna habari ya Mfalme mmoja wa Israeli aliyemkana Mungu wa kumpeleka mtumishi wake kwa Beelzebul kuona kama angeponyeshwa ugonjwa wake.Ahaziah alikuwa mgonjwa. Na alituma matanishi na kuwaambia nendeni mkapeleleze kwa Beelzebul Mungu wa Ekgon kama ugonjwa huu utapona. Lakini Malaika wa Bwana alimwambia Elijah wa Tish, Amka nenda ukawapokee mataifa wa mfalme wa samalia, na waambie Si kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli ndivyo umekwenda kumulizia Beelzebul mungu wa Ekgon? Sasa kwa hiyo Bwana asema hatashuka kwenye hicho kitanda ulicholalia hali kwa kuruka utakufa” (2Wafalme1:2-4).Hapa, mfalme aliyekuwa amemkana Mungu wa Israeli aligeukia Beelzebul kutafuta msaada. Mungu alimtuma nabii Eliah kumwambia kuwa angekufa. Hakuna mahala mapepo yalipotajwa au malaika wabaya hapa. Mafarisayo walikuwa wajenga kiasi gani kunadi kwamba haya “mapepo” yalikuwepo na kwamba Beelzebul ndiye aliyekuwa mfalme wao- kwa maana Beelzebul alikuwa sanamu la kipagani lisilo na uhai.

 

 • Kwamba kupunga mapepo ni sawa na kuponya wagonjwa na kunashuhudiwa na nukuu ifuatayo ambapo Yesu aliwatuma wafuasi wake katika miji ya Galilaya akisema ; “Waponyeni wagonjwa waliomo na muwaambie. Ufalme wa Mungu umefika karibu nanyi Nawale sabini walirudi tena na furaha wakisema: Bwana hata mapepo yako chini yetu kwa ajili ya jina lako”(Luka10:9,17) wakiwa na maana kuwa walikuwa wamewaponya Wagonjwa.

 • Uponyaji wa mwanaume aliye kuwa na ugonjwa wa akili ulihitimishwa kwa maneno haya :”Halafu walitoka kuona kilicho kuwa kimetendeka, wakaja kwa Yesu na kumkuta huyo mwanaume, ambaye alikuwa ameondolewa mapepo akiwa amekaa miguuni pa Yesu, akiwa amevaa na kutulia:Wakaogopa. Watu walio shuhudia wakawasimulia jinsi mtu aliyekuwa amepagawa na mapepo alivyo ponyweshwa” (Luka8:35-36) mtu aliye kuwa ameharibikiwa akili sasa akili zake zilikuwa nzuri tena – aliponyweshwa katika usemi wa siku hizo mapepo au mashetani yalikuwa yamemwacha- chochote kilicho sababishwa ugonwa wake kilicho kuwa kimeondolewa kwa uwezo wa Mungu. Twaona kwamba ugonjwa fulani hasa ugonjwa wa akili ulikuwa unasemekana kusababishwa na nguvu fulani ambayo ilikuwa imemwingia mtu ambayo masimulizi ya kigiriki yalisema ilisababishwa na pepo wabaya au Miungu. Hata hivyo watu wanaoielewa Biblia wanajua kuwa hii si kweli.

Katika Mathayo tunasoma kuhusu uponyaji wa ajabu aliofanya Yesu. “Jioni ilipofika walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa mapepo (demons) naye aliyafunga kwa kutumia neno lake na kuwaponya wote waliokuwa wagonjwa. Ili yatimie yale yaliyokuwa yamesemwa na nabii Isaya kuwa.Yeye mwenyewe alitwaa mdhaifu wetu na kubeba maradhi yetu”(Mathayo 8:16-17)Yesu aliponya huo mdhaifu na ugonjwa uliowasumbua watu kwa sababu ya asili yao dhaifu yenye kufikisha na hivyo kuthibitisha kuwa kweli alikuwa ametumwa na mungu ambaye hatimaye angemponya mtu ufu wote na kumpa uzima wa milele.

Yesu alifundisha kanuni hii alimponya mtu aliyekuwa na ugonjwa wa kupooza. Alimwambia, “Mwanangu, furahi, umesamehewa dhambi zako” Lakini alipoulizwa kuhusu kusamehe dhambi za mtu yule. Yesu ailsema: “Je lipi rahisi, kusema umesamehewa dhambi zako au kusema nyanyuka utembee? Lakini ili mjue kuwa mwana wa mtu ana uwezo wa kusamehe dhambi ( anamwambia mtu aliyepooza) Inuka chukua kitanda chako uende nyumbani kwako. Na aliinuka na kuondoka kwenda nyumbani kwake.” (Mathayo9: 2,5-7).

Haya ndiyo maajabu ya nguvu ya uponyaji ambayo mungu alimpa Yesu. Kuwafundisha watu wenye kufikiri, kuwa mungu alikuwa amemtuma kuponya ugonjwa mkubwa kuliko yote, ule unaoleta kifo cha kudumu- dhambi. Kupitia kwa Yesu kristo tunaweza kupata msamaha wa dhambi na kutarajia siku ile ambayo huu mwili unaoharibika utakapovaa kutokuharibika na huu unaokufa utakapovaa kutokufa ndipo utakapotimia neno lililoandikwa “kifokimemezwa na ushindi” (1Wakorinto15: 54)

MAPEPO NA WATAKATIFU WALINZI.

Imani kuwa kuna “Watakatifu” hai mbinguni ambao watu wanaweza kuomba msaada kwao ni ushirikina mwingine wa kipagani ambao mlikubaliwa na wakristo wa awali ambao hawakujua mafundisho ya Biblia. Utakumbuka nukuu kutoka kwa Plato ambayo tulii nukuu mapema. Kila pepo (shetani) ni kitu cha kati ya Mungu na mtu mwenye asili ya kufa”. Nadharia ya plato ili kubalika na kanisa kwa mabadiliko, kwa kuwa ilipindishwa kidogo na mafundisho ya Biblia. Badala ya kusimama katika mafundisho ya Biblia kwamba mtu ana asili ya kufa, na anapokufa hurudi kuwa mavumbi, kanisa la awali lilifundisha kuwa mtu ana roho iliyokufa inayoendelea kuishi baada ya kifo. Watu waliodhaniwa kuwa waaminifu walikwenda mbinguni ambapo baadhi wamepewa darajala “utakatifu-hawa waliweza kuwasiliana na Mungu kwa niaba ya watu walioko duniani. Makanisa mengi na mashule yamepewa majina ya hawa wanaoitwa “Watakatifu” ( kama vile “ya mtakatifu Maria ya mtakatifu Antoni, ya mtakatifu Ursuran n.k)

Mafundisho kama haya si ya kibiblia.

 • Mtu ana asili ya kufa. Hufa na siku hiyo mawazo yake hutoweka (Zaburi146:3-4)

 • Wafu hawajui chochote (Mhubiri 9:5-6)

 • Katika mauti hakuna kumbukumbu juu ya mungu wala kutoa shukrani kwake(Zaburi6:5)

 • Wafu hawamtukuzi mungu (zaburi115:17)

Biblia hufundisha kuwa matumaini pekee ya binadamu ni ufufuo wa milii Yesu kristo atakaporudi (Danne12:2),(1 Wathessalonike 4:13-17)

 

Kuamini kuwa kuna watakatifu ambao tunaweza kuomba au kwamba ndugu zetu ambao walikufa sasa hivi wanaishi mbinguni na wanaweza kuathiri maisha yetu na kutuweka katika hali ya usalama si fundisho la Biblia. Yesu kristo ndiye mpatanishi wetu mbinguni ambaye kupitia kwake tunamsogelea mungu katika sala. “kwa kuwa kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na watu, Mwanaume Yesu kristo”(1Timoteo2:5-6 ). Kwa hiyo udanganyifu unaofundishwa na kanisa kuwa mtu anaweza kumwomba Maria mama wa yesu kristo, kama wakatoliki wanavyofanya katika “Salamu Maria” au kwa watakatifu walinzi wengine una misingi yake katika fundisho hili lisilosahihi. Maria na waaminifu wengine wote walikufa- wamelala katika Kristo wakisubiri ufufuo atakaporudi hapa duniani. Hakuna hata sehemu katika Agano Jipya ambapo kuna sala inayatolewa kwa maria au kwa mtakatifu mwingine yeyote.

 

SOMO LA 24

Na sasa twaweza kuelewa maana ya kuunganisha majina haya matatu pamoja.

Dhambi iliingia dudiani kwa njia ya uongo wa Nyoka.Alikuwa ndiye “adui”wa mungu na mafundisho yake na pia wa Eva ambaye alipokea uongo wake. Alikuwa ndiye mchonganishi wa Mungu na ukweli wake, kwanjia ya dhambi Adamu na Eva walileta kifo dujniana.Wanadamu wote walilithi ile hali ya kuelekea zaidi kwenye dhambi ambayo ilikuja kupitia wao na mauti kupitia dhambi.Ilivyo katika Agano Jipya matamko Shetani na diabolosi au Ibilisi yametumika kueleza hii nguvu ya Dhambi liyomo katika asili yetu mara nyingi makamko haya yameonyeshwa kama nafsi.

Kristo atakaporudi wote wale watakakuwa”ndani ya Kristo” watafanywa hai.Nguvu ya dhambi na mauti kwao itakuwa imeharibiwa. Halafu Kristo atatawala kwa muda wa miaka 1000 na katika kipindi hicho dhambi itakuwa imefungiwa kwa wanadamu wawezao kufa, hapa duniani kwa hiyo hakutakuwa na uonevu wa watawala waovu au dhuluma kutokana na mifumo fisadi.Karibu na mwisho wa miaka hiyo 1000”milenia”

Baadhi ya Watu wataasi na kupinga utawala wa kristo-kwa muda mfupi dhambi haita zuiliwa.Lakini mwishowe. Wote wale wanao ambatana na dhambi ikiwa pamoja na kifo mwishowe yatateketezwa (Ufunuo 21:8,3-4). Kipindi hiki kimeelezwa pia katika 1Wakor 15:21-28, 52-57, katika kufikia lengo hili tukufu tunacho kieleza kilicho kolea cha kuharibiwa kwa hiyo nguvu ya dhambi (Ufunuo 20:10) ambapo “Diabolosi “ anateketezwa .Ni wakati huo tu ndipo dhambi na mauti vitakoma kuharibu maisha ya watu –milele.

 

MUHTASARI WA SOMO

 

 • Neno Shetani halimo kabisa katika Agano la kale tamko “Ibilisi “linaonekana mara nne na linahusu Mungu ya kipagani

 • Neno la Kiebrania satani maana yake ni adui Neno hilo huonekana mara 33 katika Agano la kale.limefasiliwa “adui “mara 12 kaidi mara 1”humili “mara 1, kuachwa bila kutafsiliwa,mara 19,na hizi19 ni katika sehemu 4 zinazo zihusisha maana yake ni (Kamusi ya Agano la kale iliyoandikwa na youngi)kwa musingi huu ni wazi kwamba Shetani yule adui mkongwe wa Mungu kama mnavyo fundishwa mahali pengi katika Ukristo.

 • Hakuna hatamoja katika marejeo haya linaloonyeesha kumbe muovu mwenye uwezo wa kawaida anavyo wapeleka watu kwenye dhambi.Fundisho kwenye kuhusu Ibilisi au Shetani haliwezi kudhibitishwa na marejeo hayo.

 • Katika Agano la kale Mungu anasema dhambi zote hutoka katika mawazo maovu na tama zitokanazo katika moyo wa mwanadamu (mwanzo 6:5, 8:21: Jeremia 17:9).

 

MIZIZI YA DHAMBI YAELEZWA KATIKA AGANO JIPYA

 

    • Yesu anasema kuwa uovu wa mtu hutoka katika mawazo (Marko 7:21-23) Yakobo asema mtu hushawishiwa na tamaa zake mwenyewe (yak. 1:13-15) na Paulo pia alisema kwamba dhambi aliyo tenda ilitoka katika silka ya kutenda, dhambi aliyo kuwa nayo (Warumi 7:15-25)

    • “Shetani” ni neno lililotumika katika Agano jipya kuwakilisha wale wanao pingana na njia za Mungu Yesu alimwita Petro shetani alipopinga mawazo ya Yesu kutekeleza matakwa ya Mungu (Mathayo 16:23)

    • Neno Ibilisi kwa kigiriki ni dikabolos na maana yake ni “msingiziaji” mchongeaji wa maovu,Neno hili limefananishwa hivyo katika 2 Timoteo 3:3; Tito 2:3;na 1 Timoteo 3: 11)

    • Neno Ibilisi (diabolos) limetumika humaanisha tamaa ovu ambazoni sehemu ya zilika au mawazo ya mtu zinazo mshawishi kutenda dhambi.

    • Diabolos (Ibilisi) pia hutumika kuwasilisha watu mamlaka za kisasa na zakidini ambazo zikinakishika kumshitakia Mungu uongo (ufunuo 2:10 1Petro 5:8-9)

    • Yesu kristo aliteketeketeza kazi za Ibilisi kwa kushinda vishawishi vyake kutenda dhambi (1Yohana 3:8) alimwangamiza kabisa Ibilisi, katika kifo chake (Waeb 2:;14).

 

NYONGEZA IBILISI MASHETANI NA MASHETANI.

 

Ibilisi au mashetani katika enzi za Agano la kale neno mashetani (devils)linaonekana mara nne katika agano la kale katika Biblia iliyokubalika (walawi 17:7; kumb 32:17; 2 Nyakati 11:15; zaburi 106:37)katika tafsiri nyingi za Biblia za kisasa nano mashetani (demons) linachukua nafasi ya ibilisi (devils) ambayo kwa uhakika halileti maana halisi ya kiebrania marejeo haya yanahusiana na ibada za kipagani za mataifa yasiyokuwa na dini zinazoeleweka yaliyokuwa yauzunguka Israeli. Nukuu tatu za kwanza hapa chini zimetolewa katika tafsiri ya kimarekani ambayo inatumika neno “demonsi badala ya devils”

 

Walitumika sanamu zao ambazo zilikuja kuwa jalibu kwao ndiyo walidhabihu watoto wao wa kiume na wa kike kwa mashetani (demons) (zaburi106: 36- 37) wapagani ambao waliabudu sanamu,walikuwa na imani katika sanamu hizi waliamini hawa miungu wa kishetani Israeli ilimchukiza Mungu kwa kuiga tabia hizi chafu walitoa sadaka kwa mashetani ambayo hayakuwa Mungu, kwa Mungu wasiyo ifahamu kwa Miungu mipya iliyotokeza kurubuni ambayo baba zako hawakuogopa (kumb 32:17) Musa anaeleza jinsi Israeli iliyopotoka kutoka kwenye ibada ya kweli ya Mungu na kutoa sadaka kwa miungu wa sanamu ya wapagani ambayo hapa inaitwa “demons” ambayo ilikuwa vipande tu vya chuma, mti au jiwe.Tazama jinsi vinavyoelezwa katika zaburi 115:3:-5 na Isaya 44:9 -20.

Paulo anaanzia hapa kuonyesha kuwa mashetani kama haya au ibilisi wanaotajwa katika Agano la kale walikuwa miungu katika enzi za upagani. Lakini ninasoma kwamba vitu ambayo watu wa mataifa wanatoa sadaka wanavitoa kwa mashetani (roho wachafu) na si kwa Mungu (1wakor 10:20) hapa Paulo anatumia neno la kigriki daimons ambalo linatafusirika devils au demons yaani pepo wabaya au mashetani ni wezi. Paulo anazungumuzia miungu ya masimulizi ya kigiriki.

 

Kwa hiyo Paulo anasema “kuhusu ulaji wa vitu hivyo ambavyo vimetolewa kwa sanamu tunajua kuwa sanamu haina maana duniani na kwamba hakuna mungu mwengine ila Mungu japo wapo hao wanaitwa miungu wao Paulo anazungumzia miungu wa kishetani wa kipangani iwe ni miungu au duniani, (kama walivyo miungu wengi na mabwana wengi ) lakini kwetu sisi kuna Mungu mmoja tu baba yetu (1 wakor 8: 4-6). Paulo anasisitiza – hawa roho wachafu au miungu wa kishetani wa watu wa mataifa hawapo kabisa. Paulo anasema kuna Mungu mmoja tu Baba yetu. kuamini kuwa kuna nguvu nyingine yenye uwezo usio wa kawaida, mbali na Mungu ni kinyume na mafundisho ya Biblia.

Ni lazima izingatiwe kwamba neno la kigiriki “daimonion” linalofasiriwa devils (mashetani ) au “demons” ni neno tofauti kabisa na neno la kigiriki “diabolos” ambalo linafasiriwa ibilisi au mchongezi wa uongo” katika Agano jipya mtu anayesoma kigiriki angeona kuwa hakuna uhusiano kati ya maneno hayo. Ni wasafiri wa kiingereza ndiyo walioweka uhusiano kati ya maneno hayo katika baadhi ya tafsiri za kiingereza.

 

Katika Agano la kale hakuna mahala liliposemekana kuwa mtu ametolewa pepo hii ina maana kuwa wakati wa Agano la kale watu waliosoma Biblia na kumwamini Mungu hawa kuamini vitu kama hivyo.

 

Plato mfalsafa mashuhuri wa kigiriki aliyeishi takribani miakan 400 kabla ya yesu kristo alieleza kile dini ya kipagani ilichofundisha kuhusu roho wachafu au ibilisi. Aliandika kila roho mbaya ni kitu cha kati kati ya Mungu na watu wafao . Halafu akaeleza wote wanaokufa kishujaa katika vita……….kugeuzwa roho wabaya (demons) na kwamba tunapaswa baada ya hapo hadi milele kutumikia na kuabudu makaburi yao kama makaburi ya demons (roho wachafu) hawa ndio walikuwa demons wazuri lakini, pia walikuwepo demons wabaya katika ibada za kipagani walikuwepo wale kulingana na mwandishi mwingine aliyeitwa Plutarch wailioishi maisha mabaya na baada ya kifo kuwa waovu na washairi wanaowaonea wivu watu wazuri, na wanajitahidi kuvuruga na kukwaza wale wanaotafuta uadilifu wasiwe imara katika uzuri wao wawe wafisadi ili baada ya kufa wasipate kuishi vizuri zaidi kuliko wao.

Mafundisho haya ya kipagani kuhusu roho wabaya (demons) yanaonekana kuwa yamepotoshwa kweli kwetu tunapo igeukia Biblia tumeona waziwazi kuwa mtu hufa na anapokufa huingizwa kaburini tumaini pekee la kuishi baada ya kifo ni ufufuo kutoka katika mauti yesu kristo atakaporudi, wazo la watu kuendelea kuishi baada ya kufa kama wapagani waliyoamini (na kama dini nyingi za kikristo zinavyofundisha sasa) ni kukanusha neno la Mungu.

Dhambi huleta mauti (warumi 6:23) ukombozi kutoka katika dhambi na mauti unapatikana katika ubatizo tu masimlizi ya kigiriki ni mafundisho ya Biblia.

 

MASHETANI NA PEPO WAOVU KATIKA AGANO JIPYA:

 

Dhana ya kuwa kuwahi kuwepo nafsi kama hizi (demons – pepo waovu) au miungu iliaminika mahari pengi katika karne ya kwanza miongoni mwa wapagaji ambao Paulo alipelekea Enjili mfano wa hili unaonekana pale Paulo alipozuru Athens pale aliomba awahubili watu karibu na Parthenon – hekalu kubwa kabisa la miungu kwenye kilima cha mars au areopagus (matendo 17:19) Paulo alikuwa amezungumzia ufufuko wa yesu kristo kwao hili lilifanana na fundisho lao la kwamba watu waligeuka mapepo au miungu walifadhaika na kusema “Anaonekana kuwa mtangulizi wa Miungu wa ajabu au mapepo,(kigiriki daimonion ) kwa sababu anawafundisha kuhusu yesu na uffuo (aya ya 18) kama mtu aliishi baada ya kufa basi ni pepo au miungu waliamini.

Dhambi ya kigiriki ya pepo wazuri na wabaya au miungu ilikuwa imeletwa kwa wayahudi kabla ya wakati wa kristo katika kipindi ambacho wagiriki walitawala nchi ya Israeli miaka ya 333-167 kabla ya kristo. Wayahudi walikubali dhambi hii kwa kuhusisha maradhi au magonjwa ya akili,kifafa na uzinzi au ububu na hawa pepo wabaya itawakuwa na nyizi wa uganga wa kisayansi tulio nao leo ambapo chanzo cha matatizo kama haya kinaweza kutambuwa

Lazima lakini tuelewe kwamba chanzo cha msingi cha maradhi yote na kudhoofika kwa miili yetu kinatokana na ukweli kwamba sisi ni wazao wa Adamu ambaye kwa sababu ya dhambi alihukumiwa kurudi kwenye mavumbi ya ardhi kufa sote tumeilithi ufu uliokuja kwa njia ya dhambi sayansi ya kitubu inaweza kutambua matizo, hata kuyapunguza lakini haina tiba ya kifo chenyewe. Tiba inapatikana na kwa Mungu tu.

Sasa tuangalie baadhi ya marejeo yanayohusu mashetani au pepo wabaya katika maisha ya yesu.

Mara kadhaa viongozi wa wayahudi walidai kuwa yesu alikuwa na pepo na kwa hiyo alikuwa mwandawazimu wenyeji wao walisema ana pepo (demons ) na ni mwehu kwa nini mnamsikiliza (yohana10: 20) tena halafu wayahudi wakajibu na wakamwambia hatukusema vema kuwa wewe ni msamaria na kuwa una pepo (demon)yesu akajibu sina pepo (demon) bali ninamheshimu baba yangu nanyi hamumheshem (yoh 8:48-49) kwa kuwa hawakumuelewa yesu viongozi walisema alikuwa na ugonjwa wa akili wakiamini kuwa miungu (pepo) furani lilikuwa limeingia akilini mwake.

Kwa mara nyingi twaona kuwa wayahudi walikuwa wameathiriwa na wazo hili la miungu wa kipagani au mapepo yaliyosababisha ugonjwa twasoma italafu akaletwa mbele yake mtu aliyepagawa na pepo (demon) kipofu na bubu vioye akamponya kiasi kwamba kipofu na bubu wote wakasema na kuona (mathayo12:22)mtu yule ali

 

 

 

 

 

 

 

MASWALI

 

 1. Neno shetani lina maana gani?

 2. Katika Agano la kale, Mungu anasema dhambi hutoka wapi?

 3. Paulo anaelezaje jinsi dhambi na kifo vilivyofika hapa duniani? (Warumi5:12)

 4. Neno Ibirisi linaonekana katika Agano la kale la Biblia?

 5. Waandishi wa Agano jipya wanaeleza kitu gani kwamba ndicho chanzo cha kushawishi na dhambi?

 6. Nguvu ya kifo ina nini?( warumi5:21:6-23)

 7. Yesu kristo alimwangamizaje yule aliyekuwa na nguvu ya mauti yaani Ibirisi?”( waebrania2:14)

 8. Neno Ibirisi limetumika kumwakilisha nani katika Biblia?

 9. Kwa nini yesu alimwambia Petro rudi nyuma yangu we shetani (mathayo16:23)

 10. Chanzo cha maradhi ya mwanadamu ni nini?

 11. Yesu alikuwa akifanya nini hasa alipokuwa akifukuza mapepo au mashetani kutoka kwa wagonjwa?

 

Swahili Title: 
KIFO –MATOKEO YA DHAMBI YASIYOEPUKIKA
English files: 
Swahili Word file: